Hizi pyramids huwa zinanipa maswali sana.
Kipindi wanajenga hizi pyramids technology ilikuwa bado ipo chini sana sasa huwa nawaza kuhusu haya mawe waliyapandisha vp kule juu[emoji849].
Jiwe moja inasadikika lina kilo 3000+
Labda niulize wakuu hizi pyramids zina urefu wa meter ngapi kwenda juu
Mimi ni mkristu mkuu, hapa sijui hata nifanyaje.
Mm ni mkristu ila sio mtu wa kusoma Bible kabisa, hapa tu nilipo ninakaribu miaka mitano sijawah kwenda kanisani.
Last time naenda kanisani ilikuwa 2018 nipo shule.
Kama kuna njia nyingn labda inaweza kunisaidia
Habari..
Mimi ni kijana wa kiume,
Umri wangu ni miaka 24,
Naishi mkoa X.
Najishughulisha na uuzaji wa vifaa vya simu kwenye mkoa niliopo.(sitegemei kuulizwa kama ninakazi au sina kazi mana nimeshaeleza).
Ninatatizo moja la kupatwa na uvivu muda wa kuamka asubuhi.
Kuna muda naamka mpaka saa nne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.