Recent content by ILULA HILLS

  1. ILULA HILLS

    SoC02 Nimeamua kuingia mwenyewe shambani - Kilimo cha Parachichi

    Takribani saa tatu usiku sasa, tunamaliza pika Ugali – Dagaa, tunakula huku maongezi ya hapa na pale yanaendelea na mashujaa wangu hapa, wako mbali kabisa na makazi ya watu, ndio nawajuza mabadiliko ya mkuu wa majeshi, mkuu wa polisi na wakuu wa mikoa, giza ni nene, baridi ni kali, hivyo wote...
  2. ILULA HILLS

    Zijue sifa kuu za Tecno Camon 19

    inatumia processor gani?
  3. ILULA HILLS

    Maonesho na mnada wa ng'ombe yanaanza leo Ubena Zomozi

    Hivi kuna nanenane kweli mwaka huu?
  4. ILULA HILLS

    Nani kanufaika na ukulima wa pilipili kichaa?

    kwa taarifa nilizonazo, soko limeyumbishwa na vita vya Ukraine, kwa sasa mzigo unatoka kwa shida.
  5. ILULA HILLS

    Natoa Donation ya Electronics Programming Kit, PIC controllers, lot of sensors, Display Units, yani complete kit ya kufanya uwe na lab chumbani kwak

    Ningeweza kukuagizia ila sasa sijishughulishi na biashara ya kuagiza vitu. Ingia ebay, kama ukipata unachohitaji naweza kukupa njia ya kuweza kukufikia.
  6. ILULA HILLS

    Natoa Donation ya Electronics Programming Kit, PIC controllers, lot of sensors, Display Units, yani complete kit ya kufanya uwe na lab chumbani kwak

    Yani sikutegemea jf jukwaa la tech liwe hivi, hawa vijana sijui wamejibana instagram na facebook au wapi? Nadhani last resort ni kwenda chuo directly.
  7. ILULA HILLS

    Natoa Donation ya Electronics Programming Kit, PIC controllers, lot of sensors, Display Units, yani complete kit ya kufanya uwe na lab chumbani kwak

    Hii ni learning kit, vitu almost vyote nimevitumia mara ya mwisho 2019, baada ya hapo sijavigusa. Kuna uwezekano kwa sasa zipo microchip bora zaidi ila hata hizo 18f series zina uwezo mkubwa sana. Ushawahi ona calculator nzee ikadanganya? Basi ndio hivi vifaa, vitafanya kazi jinsi...
  8. ILULA HILLS

    Natoa Donation ya Electronics Programming Kit, PIC controllers, lot of sensors, Display Units, yani complete kit ya kufanya uwe na lab chumbani kwak

    Ntakupatia mualiko tukikamilisha ujenzi wa vyumba vya wageni Ilula hapo. Uje jifunza kitu kwenye kilimo.
  9. ILULA HILLS

    Natoa Donation ya Electronics Programming Kit, PIC controllers, lot of sensors, Display Units, yani complete kit ya kufanya uwe na lab chumbani kwak

    Vijana wa chuo wengi wana ndoto ila hawana uwezo wa kununua hivi vitu, mimi mwenyewe ilinichukua miaka 2 nikiwa chuo kuagiza vitu kidogo kidogo ndio nkavipata vyote, haikuwa kwa siku moja. Hivyo naamini vijana wa sasa wanaweza tumia hii nafasi vizuri kutimiza ndoto zao.
  10. ILULA HILLS

    Natoa Donation ya Electronics Programming Kit, PIC controllers, lot of sensors, Display Units, yani complete kit ya kufanya uwe na lab chumbani kwak

    Keypads 2, Digital Display 3, lot of capacitors and resistors, motherboard, 63Amps Breaker, na vyote vilivyomo.
Back
Top Bottom