Recent content by Ilighena

  1. Ilighena

    Mfanyakazi wa Mgodi wa North Mara adaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi

    Mkuu hili swala linapelekwa kipropaganda. But the truth is this, dogo alikuwa kwenye mavazi ya kazi, yy ni operator wa ADT, alikutwa nje ya mtambo wake akiwa chini anafukua mzigo, baada ya kukutwa aliamua kujirusha ili asikamatwe. Ni operator wa ADT underground mine. Tuache propaganga.
  2. Ilighena

    Mfanyakazi wa Mgodi wa North Mara adaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi

    Una una uhakika gani kama walimuua?
  3. Ilighena

    TARURA mnapaswa kujitathimini mwaka 2023

    Acha uchawi, umekosa tender eti? Funguka ueleweke, njoo na evidence acha ramli
  4. Ilighena

    SoC02 Na Masters yangu, niliamua kwenda kulima Mboga mboga za kuuza baada ya ajira kuwa ngumu

    Muda uliofanya kazi na mafanikio vinatia mashaka kidogo. Sio zaidi ya miaka miwili una green house 2, unatumia drip irrigation! Kidogo inatia mashaka.
  5. Ilighena

    Serikali ina kila sababu ya kujitafakari ni wapi imekosea

    Habari za asubuhi wanajamvi, kuna jambo najiuliza sana. Hivi kweli Tanzania tumefikia hatua ya kuhamasishwa kwa matamasha, vitisho ndio tukahesabiwe? Nini mbaya? Tumekosea wapi? Je, viongozi wetu wamekosa mwelekeo?
  6. Ilighena

    Nani anaweza kuniambia nini kimenisibu mpaka nimeandika ujumbe huu

    Mm sio mwanasiasa mkuu. Nawaza vingine kabisa
  7. Ilighena

    Nawaza kuacha kazi, naona sihitajiki na kampuni ninayofanyia kazi

    Mkuu nimekuelewa sana. Lkn hata nje ya mshahara, the way i have been treated, ni zaidi ya udhalilishaji.
  8. Ilighena

    Nani anaweza kuniambia nini kimenisibu mpaka nimeandika ujumbe huu

    Nyani walishangilia Baada ya mwenye shamba kufariki kwa sababu alikuwa akiwafukuza kila wakivamia shamba na kula mazao.. baada ya mwenye shamba kufariki walienda shamba wakala mazao yote wakifurahi!! Msimu ulio fuata walienda shamba hawakufukuzwa lakn mazao hayakuwepo na wao wakafa kwa njaaa...
  9. Ilighena

    Nawaza kuacha kazi, naona sihitajiki na kampuni ninayofanyia kazi

    Habari za jioni wakuu. Nimekuja kwenu usiku huu kuomba ushauri kutokana na changomoto ninazopitia. Mimi ni kijana mwenye miaka 31, baba wa watoto wawili. Nilimaliza chuo mwaka 2015 toka kipindi hicho sikufanikiwa kupata ajira ya maana au kuweza kujiajiri. Nilipambana mtaani nikaweza kuipatia...
Back
Top Bottom