Recent content by Ikizu Bukama

  1. I

    JamiiForums Tanzania CAG: Nusu ya miradi ya ujenzi wa barabara nchini imekwama kisa kukosa pesa na Mipango Mibovu

    Inasikitisha sana,mimi lawama zangu zote ni kwa Samia..alivyoingia tu alitoa 500milioni kwa ajili ya kila jimbo kujenga barabara ya vumbi,lakini ukiangalia kwa undani sana nia ilikuwa kunufaisha zanzibar,maana ukilipa jimbo la zanzibar 500m wanakarabati sehemu kubwa sana,pili hana maono yoyote...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Acheni Wivu wa Kike!, Kumuonea Wivu Mwenye Kismat, Mwenye Nacho, Anaongezewa!. Huu Ubunge Tuu, Kelele Hivi!, Atakapokuwa Waziri, Mtafura Kujinyonga?.

    Ahahaha,kwamba hakuwepo kwenye interview lakini alipita?ila ukiangalia pattern,huyu yupo kwa manufaa ya JK,myu wa kuja kufungwa akiwa hair ni JK na huyu bibi yake mpuuzi anayepewa maelekezo
  3. I

    JamiiForums Tanzania Martin Masese: Festo Kiswaga jimbo la Kalenga ni mfano mmoja tu wa wabunge mzigo, wa kupewa vimemo na kujiropokea

    Huyu jamaa alikuwa Zonal Director wa Tigo zone ya South,mikoa ya Iringa,Mbeya,Ruvuma na Rukwa...alikuwa anajenga hoja vizuri sana,sijui kapatwa na nini...yawezekana wameshajua boss wao anapenda watu wajinga
  4. I

    JamiiForums Tanzania Tulipo Hapa 1: Huu Ndio Ukomo wa Upeo Wao... Ripoti za CAGs

    Umesema maji hakuna vijijini,maji hayapo Tanzania nzima
  5. I

    JamiiForums Tanzania Ocd Centro Moshi, huyu ni mwizi au ni Askari aliyechini Yako?Mimi kihistoria staki kuja hapo Tena ila ni aibu aibu aibu mnatuchafua

    Mimi nilishawahi ibiwa wala sikusumbuka kwenda kituo cha polisi,ni kuwapa faida tu polisi,bora huyo mwizi afaidi ila sio kumfaidisha polisi aliyekaa tu,bora hata huyo mwizi kapambana kuniibia
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Bandari yasogeza mbele kuanza kwa ada ya uendelezaji wa miundombinu bandari hadi Julai 1, 2026

    Samia akitoka madarakani ni wakukamata na kupiga viboko 30 kabla hajafungwa
  7. I

    JamiiForums Tanzania TANZIA Pumzika kwa amani Profesa Costa Ricky Mahalu!

    Ipo Katunguru ya Sengerema,kijiji cha mwisho kwenye kona ya kuelekea Kamanga ukiwa unatoka Sengerema Mission
  8. I

    JamiiForums Tanzania TANZIA Pumzika kwa amani Profesa Costa Ricky Mahalu!

    Kikwete anahakikisha anawamaliza wote yaani
  9. I

    JamiiForums Tanzania Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

    Shida yako hujui kizungu🤣🤣🤣
  10. I

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana pamoja na kujipendekeza kuhudhuria msiba wa Pengo lakini hajatambuliwa, yaani hakutajwa popote

    RC hiyo michezo wanaifahamu kabla hata ya huyo bibi mpumbavu
  11. I

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wanamiliki migodi ya dhahabu na almasi wakati wabara hawaruhusiwi kumiliki ardhi ndogo, huu muungano Julius alirogwa ?

    Huyu mzee ndo maana ukoo wake wamechanganyikiwa,ni laana ya aliyoifanyia Tanganyika
  12. I

    JamiiForums Tanzania Makubaliano yamefanywa Muungano umevunjwa rasmi bila maandishi wala tangazo na Zanzibar inaruhusiwa kujifanyia kila kitu isipokuwa kuwa na jeshi

    Na huu ndo ulikuwa ugomvi mkubwa wa Ndugai na Bibi Shetani Samia,nakumbuka kwenye mgao wa pesa za uviko Ndugai alimuuliza Mwigulu,"huu utaratibu wa kugawa pesa kwa kutumia mfumo wa majimbo hauko sawa",alimuuliza hili swali mbele ya Samia..maana yake ukigawa pesa za uviko kwa kuangalia jimbo na...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Video: Je, Hayati Magufuli Alistukia Mchezo na Uchochoro wa Kusajili Meli Tanzania Ambazo Zinakamatwa na Matukio Tata?

    Yeye mwenyewe ndo kiongozi wao wa majambazi,yule shetani mnywa damu mpuuzi mkubwa sana
  14. I

    JamiiForums Tanzania Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

    Walitekwa,hii Kagame aliiongea,akasema siku wakirudia tena watarudi kwenye mifuko,akaongeza kuna dada zetu na kaka zetu majirani wameshindwa kutumia akili
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kwenye List ya Africa : Kenya sasa namba 6 kutoka 7 na Tanzania imeshuka namba 11 kutoka 10

    Uganda wanakuja kwa kasi sana,sio mda mrefu wanatupita
Back
Top Bottom