Recent content by IKIRIRI

 1. IKIRIRI

  Naenda kufanyiwa operation ya bawasiri

  Madaktari wanamoyo sasa we ulivyo mrembo ukijibinua inakuwaje?
 2. IKIRIRI

  Naenda kufanyiwa operation ya bawasiri

  Hii kitu ni serious ila mnachekesha sana
 3. IKIRIRI

  Naenda kufanyiwa operation ya bawasiri

  Aise
 4. IKIRIRI

  YouTube wanatumia kigezo gani kuifanya video iwe 1 trending?

  Ok Wimbo wa diamond umetumia two days kupata 2M views. Na rayvany ft zuchu 1.5 M kwa week 1 ,hapa inakuwaje na diamond ni 2 trending
 5. IKIRIRI

  YouTube wanatumia kigezo gani kuifanya video iwe 1 trending?

  Wadau naomba ufafanuzi. Unakuta video ina 1300000 views iko no1 trending but pia kuna video ina 2M iko 2 trending ili linakuwaje wadau? Trending video Tz kwa sasa inafanana na mfano niliotoa.
 6. IKIRIRI

  Shareholders Wasafi media kuna siku Diamond Platnumz atawagharimu mjitafakari

  Mimi sio mfwatiliaji sana wa radio na tv,kwa mujibu wa tcra wasafi media kuna watu wanashare zao. Kosa kubwa wanafanya ni kumuacha Diamond Platnumz kama moja ya mmiliki ana chukua nafasi kubwa kuitwawala radio,tv na digital platform. Kama unafwatilia wasafi media utagundua viongozi wengi, kama...
 7. IKIRIRI

  Mkasa wa ajali ya bodaboda inavyomaliza vijana

  Jana nilikuwa nimeshuhudia boda wanapata ajali na kufariki papo hapo. Chanzo cha ajali ni mwendo kasi wa bodaboda 1 aliye overtake Semi...kwa speed kwenye zebra... Kumbe mbele kuna pikipiki inatokea upande wa pili...wakakutana centre.. Wakagongana USO kwa USO....wote wakajikuta uvunguni mwa...
 8. IKIRIRI

  Mzazi mpime mwanao mimba kabla hajaenda shule

  She is very young Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom