Recent content by ikipendaroho

  1. ikipendaroho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la dini litanikosesha ndoa. Naombeni ushauri

    Mpigie simu mama yako umwambie, "Dini yangu ni CCM"
  2. ikipendaroho

    JamiiForums Tanzania BoT zifungeni Bureau de Change zilizofungwa wakati wa Hayati Magufuli

    Dollar huipati hata kwa Tsh2,600/1US$. By Oct 2025 itakuwa 1US$ = Tsh 5,000
  3. ikipendaroho

    JamiiForums Tanzania Mafuta nchini Algeria ni Tsh 850 tu kwa lita!! SISI tunakwama wapi??

    Na sisi kg ya korosho ni sh 3500 tu
  4. ikipendaroho

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

    Mbona wewe ulipokwenda matibabu India hukupeleka brains kunegotiate gharama zako za matibabu?
  5. ikipendaroho

    JamiiForums Tanzania CCM walishindwaje kumtibia Jecha nje ya nchi licha ya kuwabeba kwenye Uchaguzi Mkuu 2015?

    Never make a deal with a DEVIL!
  6. ikipendaroho

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Mwinyi kumaliza muhula wake, tunataka Rais ajaye wa Zanzibar atoke Tanganyika

    Inawezekana. Si huyo Mwinyi na baba yake!
  7. ikipendaroho

    JamiiForums Tanzania Hii hali ikiendelea, tutarajie majanga kwenye usafiri wa mabasi yaendayo haraka aka Mwendokasi

    Mimi personally, nimeshagoma tayari!
  8. ikipendaroho

    JamiiForums Tanzania Kuna mpasuko mkubwa Zanzibar kati ya Balozi Ali Karume na Rais Mwinyi. Inadaiwa Ali Karume kaitwa na Majasusi kumuweka 'sawa'

    1. Matebele- Nyasaland 2. Juba - South Sudan. 3. Mkuranga - Tanganyik 4...
  9. ikipendaroho

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar tafuta washauri wazuri suala la ardhi ya Bagamoyo

    Mtoa mada, Charles kasema ni mali ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanxibar na sio sehemu ya Zanzibar, bendera haikuhitajika kuwekwa kwa vile inabakia kuwa ni sehemu ya Tanganyika. Kama hiyo ardhi ilikuwa haitumiki, however, mimi sioni ubaya kupewa mtu mwengine ambaye ataitumia na kuleta manufaa...
  10. ikipendaroho

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu

    Ni fidia kwa kuivunja ASP!
  11. ikipendaroho

    JamiiForums Tanzania TANESCO imeisamehe Zanzibar deni la umeme la bilioni 60

    Don't you worry! There is a Geneva Convection stil exists!
  12. ikipendaroho

    JamiiForums Tanzania TANESCO imeisamehe Zanzibar deni la umeme la bilioni 60

    Kumbuka kwamba wenzenu mumewaibia nchi nzimaaa nyie umeme tu unawauma kiasi hicho! Kwa upande mwengine Wazanzibari wanakubaliana na wewe huu muungano ni wafigisu tupu bora tu uvunjwe!
  13. ikipendaroho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, nitumie njia gani ili niachane na mchepuko wa mwanajeshi bila matatizo yoyote?

    Badili number, hama kitaa!
  14. ikipendaroho

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

    Hiyo mpaka ghorofa ya 7😂😂😂! Kwani suala lilikuwa vipi?
  15. ikipendaroho

    JamiiForums Tanzania Boma la hii ramani litagharimu kiasi gani?

    Hizo steps akigonga mvua 70 ataweza kuzipanda kweli? Atashindwa kutoka ndani huyo!
Back
Top Bottom