Recent content by ikechukwu

  1. I

    Updates za-Naenda kufumania

    Nyie vipi?..kumsubiri kote kule na kulala nje mlangoni na mchana sikula. Afu laki nne zipo kwenye wallet niziache?..nna mavi mimi kwani?.sijui pesa sio?..acheni bana ngololo zenu kama hamna cha kuchangia. Mnfyuuuuuusss
  2. I

    Updates za-Naenda kufumania

    ..basi nikafika sehemu aliko mwenza wangu. Nikatonywa na wale mashushu kua yupo Bar flan anaburudika na huyo jamaa mwizi. Huyu ni mwizi mwingine sio profesa. Kiblazamen flan ivi. Nikafika pale bar hata sikuamin. Nikasubiria weee mpaka wakamaliza. Kisha wakaelekea kwenye gari...wakakaa kwa...
  3. I

    Jamani naenda kufumania

    Nipo tayari kumuacha kwa point hizi 1. Uzinzi 2. Makelele 3. Unafki 4. Uchoyo- changu chake...cha kwake cha kwake 5. Uongo
  4. I

    Jamani naenda kufumania

    Muda mzuri wa kufumania ni saa ngapi?..na siku gani ya week?
  5. I

    Jamani naenda kufumania

    Hawa mashushu ni ndugu zangu...na rafiki ambao tunafahamiana sana.
  6. I

    Jamani naenda kufumania

    Nataka nione kwa macho. Koz hizo nilishamkutanazo zaidi ya mara 3 na akawa anabisha mpaka analia na kutoa makamasi.
  7. I

    Jamani naenda kufumania

    Poa..nitaweka picha
  8. I

    Jamani naenda kufumania

    Mke wa ndoa. Tena kanisani kabisa
  9. I

    Jamani naenda kufumania

    Yes am sure. Koz tayari nimemchoka. Hatuna amani zaidi ya mwaka na nusu sasa. Ni makelele tu
  10. I

    Jamani naenda kufumania

    Nataka nipate uhakika tu. Koz huu sasa mwaka wa pili toka tumefunga ndoa...ni makelele mwanzo mwisho
  11. I

    Jamani naenda kufumania

    Naachana na huyo mwanamke. Thats all
  12. I

    Jamani naenda kufumania

    Wadau..kwa muda sasa hatuelewani na mke wangu wa ndoa. Kila nikiwasiliana nae...anakua kama hapendi hivi. So nikaamua kuweka mashushu wamfuatilie kwani chuo anachosoma mimi pia niliwahi kusomea huko...so ninafahamu mazingira ya huko. Mrejesho wa taarifa za mashushu hao. .kila mmoja kwa wakati...
Back
Top Bottom