JE MSIMAMIZI WA MIRATHI ANATAKIWA KUGAWA MALI BAADA YA MUDA GANI ?.
Na Mwanasheria Wetu.
1.UKOROFI WA WASIMAMIZI WA MIRATHI.
Baadhi ya wasimamizi wa mirathi ni wakorofi. Baada ya kuteuliwa kwa jukumu hilo hawapendi kugawa mali ili kila mtu achukue chake. Inapaswa...
NAMNA YA KUOKOA NYUMBA ISIUZWE KWA KUSHINDWA KULIPA MKOPO.
Na Mwanasheria Wetu.
Wakopaji nao wana haki zao. Yapo mambo ya msingi ambayo wanapaswa kuyajua ili yawalinde iwapo mambo yamewaendea vibaya.
Ukweli ni kuwa ni busara unapokopa kulipa deni lakini...
FAHAMU NAMNA YA KUFUNGUA MIRATHI
Na Mwanasheria Wetu .
1.MIRATHI NI NINI.
Mirathi ni utaratibu maalum wa kusimamia mali iliyoachwa na marehemu. Hakuna mirathi kabla ya kifo cha mtu. Ni lazima mtu afe ndipo ipatikane mirathi. Na mirathi kwa ujumla wake huhusisha...
MNUNUZI WA NYUMBA/KIWANJA JIHADHARI SERIKALI ZA MITAA HAWARUHUSIWI KUSIMAMIA MIKATABA KISHERIA
Na Mwanasheria Wetu
Wiki chache zilizopita niliandika kuhusu Asilimia kumi ambayo serikali za mitaa huwa wanaidai hasa maeneo ya mijini baada ya wahusika kuwa wameuziana nyumba au...
EWE MJASIRIAMALI, HATUA ZA KUUNDA KAMPUNI HIZI HAPA, MILIKI KAMPUNI SASA.
Na Mwanasheria Wetu.
STEP 1; chagua jina.
Kampuni lazima iwe na jina linalotambulika na linalojitofautisha na majina ya makampuni mengine nchini.
Hatua hii, kwa lugha ya biashara huitwa ‘Name Search’ ambapo unatakiwa...
FAHAMU NAMNA YA KUFUNGUA MIRATHI.
Na Mwanasheria Wetu.
1.MIRATHI NI NINI.
Mirathi ni mali ya marehemu aliyoiacha kwa ajili ya kurithisha warithi wake halali. Hakuna mirathi kabla ya kifo cha mtu.
Ni lazima mtu afe ndipo ipatikane mirathi. Na mirathi kwa...
NA MWANASHERIA WETU
Mara nyingi nimekuwa nikiandika kuhusu masuala muhimu kuhusu ardhi hasa namna ya kuandika mikataba mtu anapokuwa ananunua nyumba/kiwanja, hadhi ya mikataba hiyo kisheria, na ubora wake.
Pia nimeandika mambo mbalmbali kuhusu namna ya kununua nyumba au kiwanja kwa usalama...
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na migogoro ya mashamba, viwanja na nyumba hasa maeneo ya mijini.
Kwa utafiti wa kawaida utagundua kwa haraka baadhi ya sababu ambazo husababisha hali hii.
Uaminifu, tamaa, kutelekeza maeneo kwa muda mrefu, utendaji mbovu wa baadhi ya watumishi katika mamlaka za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.