Recent content by Ijose

  1. I

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwenye mbio yule wa kwanza kufika mwisho wa mbio ndo anavaa medal
  2. I

    Kwenye usahili utumishi wanakubali kupokea loss report ya kitambulisho Cha taifa kilichopotea?

    Habari,naomba msaada kwenye usahili utumishi wanakubali kupokea loss report ya kitambulisho Cha taifa kilichopotea?wanahitaji uthibitisho Gani Kwa mtu ambaye kapoteza kitambulisho.
  3. I

    Utafiti: Maji yaliyoko chini ya ardhi ni mara 20 ya maji ya mito na maziwa

    Hakuna mtu/taasisi inayomiliki groundwater isipokuwa taasisi imepewa kibali na mamlaka ya kuratibu usimamizi wa groundwater(TANZANIA WATER ACT).ndo maana unatakiwa ufatute kibali Cha kuchimba kisima(drilling permit) na uanishe maji unataka uyatumie Kwa shunghuli gani(kilimo,matumuzi ya nyumbani...
  4. I

    Utafiti: Maji yaliyoko chini ya ardhi ni mara 20 ya maji ya mito na maziwa

    Ili kuhakikisha kunakuwa na upatikanaji wa maji yakutosha na endelevu katika maeneo yetu hapa nchini serikali na wadau wa maji wangetenga fungu la fedha za kutosha kwa ajili ya tafiti za maji ya chini ya ardhi(geophysical survey)ili kuongeza vyanzo vya upatikanaji wa maji kuliko kutegemea...
  5. I

    Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Bro umemaliza Toka chuo gani
Back
Top Bottom