Recent content by Ijas

  1. I

    Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Hizo dini za kutambika znz azipo wala cjawi kuzckia kihistoria kwa znz
  2. I

    Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Ww kila kilicho bora unacho ww ni Mungu kakuumba na io tabia ckulaum
  3. I

    Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Umeona wap mzanzibar kua na din za kiafrika au kizungu au kiarabu, mzanzibar halic dini yake n uislam tu
  4. I

    WanaChadema wanaendesha kampeni katika mitandao ya WhatsApp Magufuli ashindwe tuzo ya FORBES 2016

    Na mm najiuliza swal kama la kwako? Tunaomben jibu wahusika.
  5. I

    Ushauri: Nisome Computer Engeneering au Telecom Engeneering

    Ata kama unapanga malengo fulan ila matokeo yanaweza yakaja vengne au hata TCU wakakupangia cz watakao wao
  6. I

    B.s and IT with education VS B.s with education

    Ila mnisamee naomben ushaur wenu
  7. I

    B.s and IT with education VS B.s with education

    Ni kwasabab tunakimbilia zaid masom ya scienc na kuacha masmo ya maelezo
  8. I

    B.s and IT with education VS B.s with education

    Nilikua nauliza bachelo ya eduction ( physc and math ) compare na compute sc au it, ipi ina soko la ajira pmoja na maslah yake kwa ujumla
  9. I

    Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Yapp nenda vyuon na mashulen ukahakiki mwenyeo
  10. I

    Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Bado mdgo sna ktk masuala ya kudai hak ya nch uwez kwenda moja kwa moja huko unakotaka ww kama hujapitia EACJ, io ni ngaz tu wanapitia kufikia kilelen, tatzo lako unesoma kiswahil then unaingilia mambo ya sheria kama kitu hujui nyamaza ndgu chogo
  11. I

    Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Watanzania walioweng ushafanya takwim ww au unaongea pumba tu
  12. I

    Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Takwim znaonyesha asilimia kubwa ya wabara ndio hamna elim tena hata ya kuandika na kusoma then ili ujue waznz wana akili soma nao cz moja especilly scnc
  13. I

    Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Hakuna mznz halic alietoka uchogon hao n waznz wakaaazi tuu
Back
Top Bottom