Ukishaweka kitu Kodi, tayari umeshaweka kikwazo katika suala Pana la maendeleo. Vipi, ikiwa serikali itawawekea mazingira rafiki ya uwekezaji, watumie vipato na rasilimali wanazozitafuta kuleta maendeleo mbalimbali.
Original Huawei Honor 8x Max Smartphone 6gb 128gb 5000mah 7.12 Inch Android 8.1 Full Screen Snapdragon 980 Huawei Mobile Phone - Buy Huawei Honor 8x Max,Huawei Honor,Huawei Mobile Phone Product on Alibaba.com
Mwl, hadkunifikia mkononi shilingi ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina ufahamu wa kutosha katika masuala ya uchumi, naomba unisaidie, unapobadili fedha ya kitanzania kuwa dola na kwenda kuihifadhi/kuificha nje ya nchi, je, haitupunguzii nguvu yetu ya kiuchumi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.