Recent content by Igobwe

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Mwenye Kiuno Chembamba Kama Nyigu

    Kwa hali hii ,,nampa pole na kwa mtazamo wa haraka picha yake amejitafutia umarufu kwa kujinyanyasa kwa muda mrefu mpaka kapata umarufu wa dunia ,,,,hongela yake kwakufikia lengo......chuma na kufunga mkanda kiunoni ndio mafanikio yake..:boink::boink:
  2. I

    JamiiForums Tanzania Vichekesho

    kaka patamu hapo! itabidi uwe kama msukule tu hapo! ,lia kimaajabu huko chini ya uvungu wote watamkimbia marehemu basi fasts chukua nguo yoyote tokomea nayo ukabadilishe mbele ya safari ukaoge halafu urudi kwenye msiba uendelee kusikia gumzo lako...maana itakuwa ni ajabu kwa waombolezaji lazima...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni

    Ulifanya vizuri kwa suprise la safari,maana mpenziwe alikuwa analengo la kukukomoa kiuchumi......
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni

    Rafiki yako ndiyo adui yako kaa ukajua....MR.achana nao watakukwamisha kwenye utafutaji wako,ila ukisalimiwa nao waitikie kwa amani ili wao waonekane wajinga kwa kukufanyia uchafu..pole mzee ndo changamoto za mapenzi:israel:
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naziona dalili za kuwa chizi kwa hii hali

    Duuuh... ukitingwa angalia dvd za ngono za kiafrika ,na awazo mpekee mpenzi wako unaye mpenda ,na matukio yote yanayondelea katka picha uyabebe kwa hisia kama ndio wewe..then utajikuta umejikojolea na ndio itakuwa mwisho wa hamu...anngalia meso huu kula ugali kwa picha ya samaki mgebuka au...
  6. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naziona dalili za kuwa chizi kwa hii hali

    Mpole dada!!! Ushauri ikioa hatua hiyo imekufika ya kutaka ya kutaka kufanya mapenzi japo kwa cm na jamaa anakuwa hayuko tayari ...bac mtafute kijana mwelewa ambaye atatuliza kiu yako na fikra zipeleke kwa penzi wako originary..but usisahau kutumia Kondom coz gonjwa na mimba ...na umwambie...
  7. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili za kuwa frustrated

    Kwani maana ya frustrated ni nini?:flypig::flypig:
Back
Top Bottom