Kuna mambo ma2.
La kwanza, 24 hrs before, Reaction ya serikali itakupa picha ni nini kinategemewa kwa kuangalia ukubwa wa maandalizi ya udhibiti.
So far tishio lipo ndo maana unaona watu wa serikali wakionya.
La pili, Ukitumia uzoefu na historia ya maandamano makubwa hapa nchini, siku hiyo...
Ghala ni nchi, Mazao ni keki ya taifa inayotakiwa kunufaisha watu wote, panya ni mafisadi, watekaji, waharibu uchumi n.k
Kuipa nchi jeshi ni shortcut kama tu kuchoma ghala sababu kila kitu kitakuwa kwenye risk, wawekezaji lazima wapishe kuona jeshi litakuja na sera gani, watalii watacancel...
U mwepesi wa kuerupt. Prove me wrong, nionyeshe kwamba sipo sahihi, ni sentensi ya kawaida. Halafu, unaweza kueleweka hata ukiwa na utulivu, si lazima ufoke japo huzuiwi kufoka.
Sitaki uamini chochote, nataka uonyeshe umuhimu wa hoja yako ya Jeshi kuchukua nchi kuwa ni sahihi kuliko sisi ambao tuna mtazamo tofauti.
Mfano, Ghala la mazao limeingia panya, unapendekeza tulichome ili panya wafie humo, halafu akija mwenye mawazo mbadala kuepusha mazao kuteketea unatoa...
Unataka kuandamana, hujui plan, tar 29 imefika, umetoka tu kama unavyoshauri, Sasa upo nje Tayari kwa kazi, unakimbia mchaka mchaka kuelekea wapi ili ukutane na wenzako? Au unakimbia tu usipowakuta waandamanaji unarudi?
Unajaribu kuthibitisha hoja zako kwa kwa kutumia tuhuma usizo na ushahidi nazo kwa sababu tu tumetofautiana mtazamo kuhusu jeshi kuchukua nchi.
Jeshi likitofautiana mtazamo na wewe, utalishawishi kwa kulipa tuhuma pia?
Namba hazidanganyi, hitimisho langu halitokani na mhemko au hisia zangu, linatokana na ninachoshuhudia hata sasa tunapojadili.
Kama Chama kina wanachama, hawamtaki mgombea, kwanini anagombea? Jibu ni wanaomtaka wamewazidi wasiomtaka.
Kama nchi Ina raia, na hawamtaki raisi, kwanini wanakubali...
Haya ni mawazo yako, yaheshimiwe. Maoni yangu ni kuwa, utawala wa kijeshi hapana. WaTanzania Bado tunaweza kushinikiza utawala wa kiraia tunaoweza kuuwajibisha. Ngoja tusome na maoni ya wengine mkuu.
Hutaki mawazo mbadala tofauti na utawala wa kijeshi? Sasa haiwezekani mkuu, mitazamo lazima itofautiane. Na hiyo haimaanishi kuwa kila mwenye mtazamo tofauti na Jeshi kuchukua nchi anakubaliana na kuumizwa na kutekwa kwa raia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.