POSO Tanzania sio taasisi ni ofisi ya kituo cha uwezeshaji wananchi kiuchumi. na Bega kwa bega microfinance ni kampuni inayomilikiwa na wananchi wa Mwanza.
Poso inawawezesha wananchi kubuni miradi, kuianzisha, kuisimamia wao wenyewe. Poso haipokei fedha wala haina account Bali inawaunganisha...