Jamani, mie imekuwa ni kitendawili kujua utaratibu ambao mwanamke anaautumia kupenda tofauti na mwanaume.
Kwa maana ninashuhudia mapenzi yakiongezeka kwa mwanamke siku hadi siku wakati kwa wanaume huwa ni wastani au kinyume chake. Sajawahi kumiliki mke, huenda ndio maana nashangaa.
Nina mchumba...
Unatafuta mume sasa, ulikuwa wapi umri wote huo?pia kwa masharti hayo, sidhani kama utampata uliyemtarajia. Elimu ya juu na mapenzi ni vitu viwili tofauti. Hakuna mwanaume atakayetishika na elimu yako hiyo, inachotakiwa ni maelewano. Halafu nani aliyekwambia kuwa umri mkubwa ndio wanajua maisha?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.