Recent content by Igembe28

  1. I

    JamiiForums Tanzania Naamini kuwa Mke anaweza patikana popote

    nashukuru sana kaka kwa mchango wako mzuri na ushauri pia. Umeongea sahihi kabisa kuhusu dada zetu siku hizi. Yeah now nafikiria kuifanyia amendment hiyo criteria namba 7. Amani sana na baraka tele kwako mkuu
  2. I

    JamiiForums Tanzania Naamini kuwa Mke anaweza patikana popote

    Ahsante sana kaka kwa pongezi zako ambazo naamini ni za dhati. nashukuru mno, yeah napenda sana kuwa muwazi na mkweli katika mambo yanayostahili. In GREEN: Mambo mengine kama JINA halisi or physical address, kwa mimi naona hizo ni 'too personal' details ambazo sio vizuri zikawa outsourced...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Naamini kuwa Mke anaweza patikana popote

    ni kweli kaka, tayari nishaanza kuliona hilo huku PM. nakuwa makini zaidi
  4. I

    JamiiForums Tanzania Naamini kuwa Mke anaweza patikana popote

    Shukrani sana mpendwa kwa maneno yako mazuri, nimetabasamu nilipoisoma comment yako. Amen!!
  5. I

    JamiiForums Tanzania Naamini kuwa Mke anaweza patikana popote

    wabheja sana nkoi. I will update you with feedback upon success. Ubarikiwe sana homeboy
  6. I

    JamiiForums Tanzania Naamini kuwa Mke anaweza patikana popote

    ndogo wane, leka nageme doho. Aleho rafiki wane wapandekile nkema mwenumu. nkema wawiza nho, hange wa masala gete.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Naamini kuwa Mke anaweza patikana popote

    Thanks much my dear for your kind words. You are so nice. Ameen!!!
  8. I

    JamiiForums Tanzania Naamini kuwa Mke anaweza patikana popote

    hahahahhaa, wanisekisha sana ngosha. kwani shibhi eeeh?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Naamini kuwa Mke anaweza patikana popote

    Inshaallah. nashukuru dada
  10. I

    JamiiForums Tanzania Naamini kuwa Mke anaweza patikana popote

    mbona ni vya kawaida tu ndugu. Wala usiogope... karibu sana
  11. I

    JamiiForums Tanzania Naamini kuwa Mke anaweza patikana popote

    inamaana wote waliomo kwenye social nets ni hawafai? nina rafiki angu mmoja amepata mke umu umu JF, true story!!! tunapata best friends wa kudumu from hizi hizi social nets, why not kupata mchumba? Hakunaga formula juu ya wapi pa kumpata mwenza. popote pale watu humeet, hufahamiana na kuanzisha...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Naamini kuwa Mke anaweza patikana popote

    mmh dada Rose, unamaanisha niweke picha yangu apa publicly? apana mpendwa. mwenye uhitaji huo namkaribisha inbox. Ahsante
  13. I

    JamiiForums Tanzania Naamini kuwa Mke anaweza patikana popote

    ahsante sana kaka kwa kunitakia heri katika hili. Ubarikiwe
  14. I

    JamiiForums Tanzania Naamini kuwa Mke anaweza patikana popote

    ndugu, unamaanisha niweke picha yangu apa publicly?
  15. I

    JamiiForums Tanzania Naamini kuwa Mke anaweza patikana popote

    kivipi ndugu, tatizo ni udogo wa kipato changu? au nimefanya kosa kuweka wazi hilo?
Back
Top Bottom