nimeingia choo cha kike kama sio ladies......jukwaa lina mambo hiliiiiiiiiiiii........am outta here!!!!!!!!!!!!! TATIDHO SIWEDHI MAFUMBO NITAFUNGUKA LIVE IWE NOUMEER DHAIDI
hiyo tunakimbilia jw coz kitaa no ajira au tunamapenzi ya dhati na usalama wa nchi, usije ukapangwa kwenda SUDAN ukakimbia.....mana wengine mnacomment kua wajeda siku hizi wanamea vitambi as if kule nowadays hakuna ugumu wa kazi........vipi mmejaribu na kujiajiri imeshindikana maana tutataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.