Kwa wote waliosoma accounting na project management nafasi ya kazi kwa mkataba wa mwaka 1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wote waliosoma accounting na project management nafasi ya kazi kwa mkataba wa mwaka 1

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by AUSI, Jan 22, 2012.

 1. AUSI

  AUSI Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NEW ESTABLISHED NGO IN TANZANIA

  ASSISTANT ACCOUNTANT- HEAD OFFICE:DAR
  - ADV -DIPL IN ACC/BCOM ACC
  - TALLY ACCOUNTING PACKAGE. IT MUST BE OBTAINED FROM RECOGNIZED INSTITUTION
  -EXPERIENCE ITS NOT MUST
  -SALARY 350000/=. IF YOU THINK YOU NEED MORE THAN THAT, DONT SEND YOUR CV

  PROGRAMME OFFICER- MOROGORO MJINI,JIRANI NA HOSPTALI YA MKOA WA MOROGORO
  - BA PPM& CD/ OTHER RELATED
  -SPSS. IT MUST BE OBTAINED FROM RECOGNIZED INSTITUTION
  -SALARY 350000. IF YOU THINK YOU NEED MORE THAN THAT, DONT SEND YOUR CV

  TUMA CV YAKO IKIWA IMEAMBATANISHWA NA VYETI HUSIKA KWENDA wengiwepe@yahoo.com

  NOTE: MWISHO WA KUTUMA -----27/01/2012

  KILA LA KHERI KATIKA UJENZI WA TAIFA LETU
   
 2. +255

  +255 JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,909
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Jina la hy NGO inaitwaje!?
   
 3. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nyumba na allowance zingine?
   
 4. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ngoja nikatoe copy vyeti nakuja sasa hivi..
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Kwa vyovyote hadi mnaajiri maana yake mmepata usajili na ofisi mnayo, kwanini usitoe jina na anuani kamili ya NGO yenyewe.
  Kuna mtindo umezuka wa watu kutangaza nafasi za kazi fake kwa kutumia email ili kupata sample za CV au kutumia nakala za vyeti vya wenzao kufanya ujanja ujanja,
  Tuwe makini
   
 6. AUSI

  AUSI Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa ofisi ya morogoro kuna makazi/nyumba ipo maeneo ya oil com kabla hujafika kituo cha msamvu
  kwa ofisi ya dar malazi na makazi unajitegemea
   
 7. AUSI

  AUSI Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu tunajaribu kusaidiana. waswahil wanasema ukiona elimu ni gharama jaribu uj....a
   
 8. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  nimeshatuma mkuu
   
 9. +255

  +255 JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,909
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Hata kusaidiana hakupo hvy kwa kupewa vitu nusu nusu!!? We sema hy NGO inaitwaje mi nipeleke kwa mikono nipunguze cost ya ku scan vyeti n niongee nao nipate info zaidi!?
   
 10. j

  jitegemee Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We endelea kujifanya mjanja, subiria info hapo hapo! wa tz bana?
   
 11. a

  anonymous 2 New Member

  #11
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tupe details za kutosha hapo tutume maombi
   
 12. r

  reina Member

  #12
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  [TUMA CV YAKO IKIWA IMEAMBATANISHWA NA VYETI HUSIKA KWENDA wengiwepe@yahoo.com
  ]

  mmh hapa napata wasiwasi. email ya NGO kweli ni wengiwepe@yahoo.com????? graduates be carefull na matangazo ambayo hayana details za kutosha sio unakurupuka tu unatuma vyeti vyako hovyohovyo.
   
 13. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jamani huu ni utapeli.
   
 14. k

  kebi Member

  #14
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanx for info. illa huo mshahara dah amakweli au ni volunteerng job hio ya kujikimu tuu
   
 15. SUPERUSER

  SUPERUSER JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  duh! huo mshahara ni net ama gross?
   
 16. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Acha kudharirisha kozi yangu PPM&CD, kama ni kweli kwanini msiitangaze kwenye magazeti, mpaka mlete humu, kwani hiyo NGO ni ya CHADEMA?
   
Loading...