Unlimited yangu ya leo kasi yake ni ya konokono jamani hii ya 0.17mbps ni ya eatel 5G box na hiyo ya 23mbps nibya simu yangu zote zikiwa ni 4G.
Eneo nilipoweka router na niliposerch na simu ni the same.
Idadi ya watu waliokonect kwenye internet box ni mmoja tuu. Kifurushi ni cha 110k
Pole sana mkuu,tafuta mafuta ya kuku yapashe kidogo yawe vugu vugu,tiririsha kiasi kwenye sikio lenye tatizo,kwa uwezo wa Mungu utapona ndani ya siku mbili tuu.
Kuku ni yeyote,kienyeji au kisasa.
Mimi nimenunua kifurushi cha eatel cha 110k tupo watumiaji 9 ila speed yake ni ndogo sana sasa sijajua ni kwa sababu ya mawingu au ni nini kinachangia speed kushuka namna hii.
Mkuu naomba msaada wa kueleweshwa jambo hapa.
Nina staff wangu 32,ninahitaji kifaa cha mtandao iwe voda ,tigo ama eatel.
Nimeona tigo wamerahisisha kidogo ila speed yao ni 20mbps,swali langu ni kwamba vipi kama watu 25au wote 32 tutakuwa connected speed itakuwaje?,tutaweza kustream videos kwenye...

Habari wakuu,naombeni ushauri kati ya kifaa hiki chenye 20mbps kwa watumiaji 32,au cha voda ama eatel vyenye 30mbps kipi kitakuwa na ubora kwa kasi ya kustream au kupakua?
Na vipi kama watakuwa online watu wote 32,je speed itakuwaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.