Recent content by IFOLONGO

  1. I

    Wanawake 11 huko Mombasa wafanya ngono na mbwa

    Hizi ni zama ambazo mambo mengi yatajitokeza wala tusishangae, cha muhimu tumuombe muumba aepushie mbali hayo yasijitokeze kwa familia yako.
  2. I

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    arrangement and cleanness is good:pray2:
  3. I

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Kama kweli Tanzania ili kuwa hivyo enzi hizo, basi tumerudi nyuma sana, sisi ni wazembe wa kufikiri na kutenda. Najua tulikuwa hivyo kwa sababu kulikuwa na wakoloni, waliotuchapa viboko kama punda!!!!!!!!!!jamani tukoje?????
  4. I

    Kizazaa Baada ya Jamaa Kukatiza na Kanzu Karibu na Kanisa Leo

    kwenye shina la mti pametulia ila matawi yanacheza cheza, tukate matawi ili mti utulie, kamooniii, mnatupeleka wapi mbona hatukuwa nalo hilo toka uhuru
  5. I

    Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

    Kama kuna mechi usiku ni vizuri ili ufanikishe hanjamu, lakini kama hamna na uko alone kuna baridi hakuna maana uteseke vaa tu,
Back
Top Bottom