Recent content by ifinyo mhididi

  1. I

    JamiiForums Tanzania Ni baba mchungaji au mbunge! dini na siasa

    Inakuaje huyu anatumia Bendera ya taifa badala ya msalaba. Wadau hii imekaa vipi?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Hii ndio CARTEL ya Prof. Ndulu wa BOT...

    Prof. Benno Ndulu ndiye tatizo kwa uchumi wa nchi yetu na himaya/cartel yake hii hapa! Wadau nawaletea cartel ya wasomi wala nchi. Huyu Prof alijiwekea mtandao kwa serikali iliyopita ambapo kuumaliza Magu yabidi afanye ya ziada. Mambo wanajamvi yako hivi. Akiwa World Bank Tanzania office...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Je haya ni mabadiliko yenye tija kwa taifa..? Tujadili
Back
Top Bottom