Recent content by idriss87

  1. I

    Welcome To St. Joseph College of Health Sciences

    Kuna course za pharmaceuticals? Je vigezo ni vipi? Na ada ipoje
  2. I

    Mke anahitajika

    Habarini wanajukwaa, Naitwa Idriss(miaka 33) naishi Mbezi (Africana) ni mwajiriwa katika shirika lisilo la kiserikali hapa jijini Dar. Nahitaji mke (inshaAllah tukiridhiana) Awe muislam /akubali kubadili dini (kama ni christian.Umri kuanzia miaka 27 hadi 30. Karibuni PM
Back
Top Bottom