Kwa maendeleo yenye uhakika inatakiwa Mikoa yote Mikubwa yaani DSM,Mbeya,Morogoro,Arusha,Kilimanjaro,Tanga,Iringa iongozwe na Wabunge na Madiwani kutoka Vyama vya Upinzani,la sivyo tusahau kupata maendeleo zaidi!!
Kwenye hii,Mikoa yote kuna upigaji Mkubwa sana unaendelea Kati ya...