Dah hata mimi waliniambia nimeshinda bilioni moja na milioni mia nne za tanzania wakataka nitume hela ya kuzi transfer ama kuzisafirisha nikagoma nikaachana nao mana nilijua ni walewale matapeli
jamani ni ukweli muhimbili kuna mgomo baridi mkali sana. nendeni mawodini hasa wodi ya mwaisela iliyokuwa inajaa wagonjwa hadi kwenye korido. ni kweupee hakuna wagonjwa ndugu wamebeba wagonjwa wao wote kwa sababu huduma hamna. mgomo baridi ni mbaya sana kwa madaktari walahi wagonjwa wakiona cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.