Nimesoma hadi chuo kikuu, ila bado ni MTUMWA, elimu kabatini kichwani hamna kilichobakia, niliambiwa kuna uhuru lakini bado ni MTUMWA.
Nawe kama ulisoma usichopenda ni MTUMWA, ulifuata mkumbo ni MTUMWA, uliyenunua mitiani kupendezesha vyeti ni MTUMWA, upo tu hufanyi chochote unasubiri ajira ni...