Recent content by Idimulwa

  1. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Trafiki andrew aliyehusika na tukio la ugomvi lugalo leo huwa anatabia ya kufokea madereva

    Kama kosa linafadhilia hivyo ni sawa tu..naandikisha funguo za gari langu na details zote kaunta na ninabaki na ushahidi.. Siyo kumpa Afande Mtaani tu funguo za gari langu..
  2. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania KERO Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango

    8-Kuiba /Kupora Kura za CHADEMA .Shenzi zao
  3. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania SAMIA AINUA ELIMU: SHULE ZA GOROFA ZAJENGWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WANAFUNZI

    Vipi Nchi kuongozwa na Musimbe/Singo Maza/Mama/Mjane??????
  4. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda aendelea kutoa ushahidi

    Hamna Kesi..Ni Wizi tu..na Upumbavu wa CCM na Wassira..
  5. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Hiki Ndicho kinachoendelea Nigeria kwa kumuinua Civilian-Coin.

    Akili kubwa sana wewe....!!Licha ya Misuko suko ya Kisiasa iliyowahi kukukumba huko nyuma..hujawahi kwenda CCM....!!!..yaani hapo tu naanzia...!! Nyota na ing'ae ..nakuombea..tu.. One day Yes.. Nuksi za Mchongo za Utawa wa Kikatoliki ulizopatilizwa baada ya kuachana na Ubruda(Bu Burudele),ndiyo...
  6. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Trafiki andrew aliyehusika na tukio la ugomvi lugalo leo huwa anatabia ya kufokea madereva

    Jifunze tu kujisimamia..Sheria zipo zilizo wazi mbona..?!Mimi huwa nawaweka wazi wakinikuta na kosa la Kitrafiki wanaponiomba funguo za gari kwamba nakupaje ufunguo wa gari langu mwenyewe....???Tena unanilazimisha?? Twende Kituoni nikiwa naendesha gari langu kama litalazimika Kisheria libaki...
  7. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Trafiki andrew aliyehusika na tukio la ugomvi lugalo leo huwa anatabia ya kufokea madereva

    Pole Mkuu....Aelekezwe Weledi katika kazi na nani....?!CCM hawa hawa.....!!!!??au unaota...!!!?...Chanzo Cha yote haya ni CCM na dawa ni kuwabana tupate Katiba Bora na Tume Huru Ya Uchaguzi..uone kitakachotokea..Wanachomoka Mapema mno..tena kwenye URAIS ndiyo wepesi kabisaaa..,. Sasa Trafiki...
  8. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Huyu tapeli mwenye namba +255799102280 tangu jana ananisumbua eti yeye ni vodacom customer care!

    Hao ni -TLAATTLAAH na MWASHAMBWA -wa JF hapa..Wapo hicho Kitengo ..eti wanatunisha Mfuko wa CCM... Ogopa matapeli
  9. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Itakuwaje siku Samia akiingia JF asome watu wanavyomchukulia?

    Amapita mno na yeye aliwahi kukiri mwenyewe kwenye Ile siku aliyokuwa mgeni rasmi Bawacha
  10. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania RC Chacha ameonesha Ushamba na Ufala katika hili.

    Ni aliyekuwa kumbe...kwa sasa ni nani na yuko wapi?!Maana nilikoma kumfuatilia baada ya kujiingiza kwenye dili feki la kumchafua HECHE..na hata PR yake ilichuja kwa kasi tangu sakata hilo.. .Ndiyo ameona atoke ki hivi tena...siyo!!!?
  11. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo adai kupokea vitisho kutoka kwa Mwigulu

    Na ni Best sana na Mwaipopo sasa...
  12. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Alisema atajiuzuru rasmi tarehe 4 Agosti, Tumeshamsahau tayari.

    Waache Wafu Wawazike Wafu Wenzao
  13. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Je Mwenza wa Rais anapofariki Msiba wake ni wa Kitaifa, na Bendera kupepea nusu Mlingoti au?

    Au Kamati Kuu Ya CCM ataiongoza kuteua Mrithi wake??Labda...
  14. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Je wadada mumewahi kufikishwa kilelen!!

    Bila Picha au Kideo ni uongo..wakupige bann tu. Wekaaa....tuone ulivyofika..
  15. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Vipi ICC kunaendeleaje? Ninawaonya wapinzani, hamtafanikiwa kuiharibu Tanzania kwa maslahi yenu.

    Kajinga wewe ndiyo umesajiliwa juzi ??
Back
Top Bottom