Nilikutana na huyu binti mrembo sana mwenye hips la maana mwaka 2006 kipindi hicho tunapambana na tuition k/koo. Kwa bahati nzuri wote tulifanikiwa kufaulu na kuchaguliwa mlimani hapa upendo ulikuwa motomoto kila sehemu tuko nae na ikizingatia tulikuwa na bumu 100%.
Basi tulizunguka sana...
KIPINDI CHA KIKWETE
Nilianza kazi mwaka 2013 na mshahara wa 532,000/=
Mwaka 2014 ukapanda hadi 630,000/=
Mwaka 2015 Kikwete akacheka tena hadi 716,000/=
Nikachukua mkopo wa miaka 5 NMB milioni 10, nikanunua kiwanja na tofali 2000 nikijua mwaka 2016 mshahara utapanda tena nitaanza kujenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.