Hapa unataka kuaminisha jamii mtazamo wako dhidi ya kocha robetinho ila tambua Kila timu lazima iwe key player iwe ameamka vzr au vibaya uwepo wake tu ni ushindi tosha, chama atabaki km alivyo na aina ya uchezaji wake ni taratibu ila aina ya pasi zake na upunguzaji wake presha uwanjan ndio...
Wanataka kuharibu mpira hawa. Kuna timu zimegundua hazina uwezo wa kuchukua uefa maisha yao yote sasa wanataka kujaribu bahati yao kwa kuharibu mashindano bora kabisa. Inakuwaje timu 15 ziwe lazima kushiriki ht bila kutoa jasho kisha waseme ni mashindano hapo hakuna mashindano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.