Recent content by iddhassan

  1. I

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kifedha nilipie pango. Mwenye nyumba kaja kutoa vitu

    toa jina la mwenye nyumba tumuhoji kisayansi kujiridhisha
  2. I

    JamiiForums Tanzania kidato cha tano mwaka huu

    hivi post zai zinatoka lini? wanaweza kidato cha tano lini.baada ya sense au kabla?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri yenye combination ya CBG

    naomba kujua shule nzuri yenye combination ya CBG kidato cha tano wavulana private. DSM.MOROGORO.MOSHI.PWANI DODOMA ARUSHA
  4. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kuhakiki stamp za vinywaji kwa njia ya simu

    Nimedownload application ya kuhakiki stamp za vinywaji kwenye simu ili kusense kinywaji bandia. Kila nikiscan stamp sioni kitu, je nakosea wapi? Kwa anayejua tuelimishane
  5. I

    JamiiForums Tanzania Punguzo maalum infinix hot 10 kwa laki na nusu tu, karibu

    Nipigie 0653141189
  6. I

    JamiiForums Tanzania Punguzo maalum infinix hot 10 kwa laki na nusu tu, karibu

    Mimi mahitaji simu nzuri infinix mpya. Nipigie 0754 279035
  7. I

    JamiiForums Tanzania Nissan civilian bus for sale

    hujaangalia vizuri.kila kitu kipo.haina hata pancha.mpaka jana imeleta pesa na.iko njiani.njoo kagua gari tufanye biashara.nahamia kikazi.mikoani sitaweza kuisimamia
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nissan civilian bus for sale

    0754 279035
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nissan civilian bus for sale

    for sale.call 0754279036.price 18m
  10. I

    JamiiForums Tanzania Nissan civilian bus for sale

    in good condition.new tyre.full documents.price 18m.call 0754 2735.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Single room needed Maeneo ya Tabata shule hadi Segerea

    Nipigie 0754279035 nikupe apartment yenye baraza.sebule kubwa na chumba masta ambayo itakutosha.aliyeondoka alikuwa na familia ya watu 4.sebule kubwa inagawika.bei 80.000 kwa mwezi.kwa kuanzia unatoa miezi mitatu baada ya hapo unalipa kwa kwa mwezi mmoja.mahali kitunda shule.magari yapo moja kwa...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Kitunda kutoka Makaburini hadi Kitunda inatutesa wanananchi

    nina uzoefu wa kutosha wa mambo ya ujenzi.kwa kuwa tayari kuna mitaro na iliwahi kujengwa kui upgrade kiasi hicho kinatosha kama pesa hiyo ikitumika vizuri.siku hizi tunatumia mfumo wa TANEPS hii inapelekea garama za ujenzi kushuka
  13. I

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Kitunda kutoka Makaburini hadi Kitunda inatutesa wanananchi

    Hii barabara ina mashimo sana na inaleta usumbufu Tarura amkeni kipande kidogo sana cha nusu kilomita kitusumbue namna hii. Mbunge wetu uko wapi? Kwa uzoefu wangu matengenezo yake kuweka lami haizidi milioni 500. Iweje sehemu muhimu kama hii kuwe na miundo minu mibovu.Tarura.DMDP. Mbunge wetu...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Trafiki aliyekataza mabasi ya Dar kuingia Same kabla ya saa bado yupo ofisini? Kwanini kizuizi kiwe Same na sehemu nyingine?

    nashauri huyo trafiki apandishwe cheo.nchi hii ina wajinga sana hujui mwendo kasi huua.huyu anajitambua .
  15. I

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

    milioni 8 au 80.hebu fafanua
Back
Top Bottom