Recent content by Idd Abed

  1. I

    JamiiForums Tanzania Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Wadau, kama channel 10, itaendelea kuleta wachambuzi ambao ni bias , kama Humphrey polepole, ni lazima tuikache hii TV kama tulivyo ikataa TBC na star TV, huyu jamaa kutumwa ila amekula vidonge vyake humu JamiiForums na walio mpigia simu wamemchana. Huyu jamaa siyo mchambuzi huwezi...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Chadema Pokeeni Mafisadi, hata Wasafi, uamuzi ni wenu, kazi mmeifanya

    Kuku wewe huna jipya
  3. I

    JamiiForums Tanzania Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

    We ni mjinga! Unataka utuletee Hugo mwenye sura Ngumu et magufuli hafai hatuta mchagua bweyeye huyu
  4. I

    JamiiForums Tanzania Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

    Atumiwa haka kajamaaa ni mhuniii , inatakiwa ashughulikiwe kabisaaa
  5. I

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa namna Lowassa atakavyoinufaisha UKAWA

     Hii ndio report Mnamo mwezi February mwaka huu Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) waliingia ubia na kampuni maarufu duniani inayojihusisha na tafiti za siasa (Political Research) ijulikanayo kama Greenberg Quinlan Rosner. ( Greenberg Quinlan Rosner Research ). UKAWA walitaka kujua kama...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kwa huu mkorogo uliotokea UKAWA ni bora kila chama kingesimama kivyake...

    Una matatizo we we mbona hujamwambia Baba rizi atoke
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa CCM imepoteza majimbo matatu.

    Ccm usikoment hapa hatutaki CCM kuongea chochote mana Ma ccm ni sawa na shetani wezi wakubwa
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kama hali ndio hii Simiyu, kazi ni ngumu kwa Magufuli

    Kamaeni tuyapige chini maccm , magufuli is not presidential material
  9. I

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Wana ccm wanahangaika
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lissu, Mnyika, Slaa na wengine hawakuwepo kwenye mapokezi ya Lowassa?

    Lisu Jana alikuwa huku kwetu Tunduma
  11. I

    JamiiForums Tanzania Team nzima ya CHADEMA ndani ya Kahama leo mapokezi ya James Lembeli

    Wadau wenye update za mkutano wa Lembeli Leo kahama atupe update picha ni mhimu
  12. I

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Mbeya pia wamekata toka saa sita ila hawajui kuwa wanaipandisha hadhi chadema
  13. I

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Sisi huku Mbeya ccm wamepeleka umeme tusione
Back
Top Bottom