Wakati nnajifunza kutumia computer Mwl wangu alinielekeza kwamba 'jina la Folder liendane na details zilizomo ndani' kwa maana hyo sishangai hoja ya ndugu #bongolala
Arusha ni habari ingine kabisaaa
Viambatanishi:
1. Makao makuu EAC
2. Azimio la Arusha
3. Jiji la Kitalii
4. Hali ya hewa / mandhari
5. Lifestyle /swaga za / ya raia
4.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.