Kumekua na vitendo vya uuzaji holela wa ardhi ya TANZANIA kwa wanaojiita WAWEKEZAJI wa KIGENI unaofanywa na viongozi wa chama (CCM) na serikali mfano simanjiro, Iringa raia wa ugiriki wamepola ardhi, Arumeru, Songea, hazaba bagamoyo-waswiden, dar- waanajiita wawekezaji wa kichina, Magofu ya...