Recent content by Ibrahim McGara

  1. Ibrahim McGara

    Natafuta Connection ya kupata mizigo kwaajili ya kuisafirisha

    Gari ni Scania 124 terius, kichanja moja inabeba kontena ya 40ft Gari zipo makao makuu Dar es Salaam
  2. Ibrahim McGara

    Local Cargo Transportation

    Mwanza tunaendaa ni mzigo wako tu boss
  3. Ibrahim McGara

    Natafuta Connection ya kupata mizigo kwaajili ya kuisafirisha

    Habari wadau, Nina Malori semi- trailer mawili yapo tayari kwa kazi Muda wote, Shida yangu Mizigo natapa kwa kusuasua sana, nipo Dar es Salaam. Napolea Ushauri pamoja na Connection ya upatikanaji wa mizigo. 0622925955
  4. Ibrahim McGara

    Local Cargo Transportation

    tuwasiliane kwa namba hiyo hapo juu boss
  5. Ibrahim McGara

    Local Cargo Transportation

    Natafuta order za kusafirisha mizigo mkoani na semi trela 0622925955
  6. Ibrahim McGara

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Habarini brother and sisters, Nisizinguke ngoja niende kwenye swali direct, nina 25M nataka kununua gari liwe SUV liwe la mwingereza au mjerumani, ni gari lipi litanifaa? nina uchumi wa kawaida tu
Back
Top Bottom