Recent content by Ibrahim HC

  1. Ibrahim HC

    JamiiForums Tanzania Nimepata nafasi ya kujitolea miezi minne. Je, nichukue fursa au niachane nayo?

    Wakati mwengine Bahati katika maisha Ina nafasi japo asilimia zaidi ya 90 ya matokeo katika maisha yetu yanatokana na jitihada maarifa ubunifu na kutokukata tamaa, Kama hauna ramani yoyote kajitolee ila trust me miezi minne ni muda mwingi Sana kuipoteza regardless wamekuhakikishia ajira, kwa...
  2. Ibrahim HC

    JamiiForums Tanzania Nimepata nafasi ya kujitolea miezi minne. Je, nichukue fursa au niachane nayo?

    Nilichogundua katika maelezo yako. Akili yako ime focus zaid katika suala la kuajiriwa kuliko kutafuta fursa zingine tofauti na ajira. Kitaa kina fursa nyingi Sana ila ni wachache wenye uwezo wa kuzitumia, kila uchwao Kuna watu kitaani jua linawawakia na wengine wanazidi kustawi hapo tofauti...
  3. Ibrahim HC

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kupitia Changamoto za Nguvu za Giza katika harakati za ufugaji pitia hapa

    Alafu maeneo Kama hayo unapoenda kuwekeza wenyeji hawakusanui, wanakuchora tu ukiangukia pua ndio wanakwambia njia za kupita, kwa kifupi maeneo ya pwani Kuna uswahili mwingi na wanapenda watu waishi maisha ya kufanana, ukijifanya mpambanaji wanakuvuta shati urudi nyuma kimaendeleo
  4. Ibrahim HC

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kupitia Changamoto za Nguvu za Giza katika harakati za ufugaji pitia hapa

    Mijini hizo mambo hakuna ila kwa vijijini hata ukila vizuri hata kuvaa vizuri inakuwa nongwa lazima wakupige kitu kizito
  5. Ibrahim HC

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kupitia Changamoto za Nguvu za Giza katika harakati za ufugaji pitia hapa

    Huo ndio uhalisia wa maisha yetu watoto wa kishua wanaona ni hadithi za kufikirika ila katika utafutaji mauzauza mengi Sana lazima kuwa na Nguvu ya kukulinda wewe pamoja na mali zako. Well said mkuu
  6. Ibrahim HC

    JamiiForums Tanzania Hii vita ya Mwanadamu na Shetani haina usawa na haki

    Shetani Hana mamlaka juu yetu ikiwa tuna mahusiano mazuri na Mungu na vita ya ulimwengu wa roho haiko ivyo Kama unavyodhani, ili shetani akupige ni lazima apate uhalali ambao Mungu mwenyewe anaruhusu upigwe mfano, Ayubu 1:6-11 [6]Ilikuwa, siku moja ambayo hao wana wa Mungu walikwenda...
  7. Ibrahim HC

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kupitia Changamoto za Nguvu za Giza katika harakati za ufugaji pitia hapa

    Habari za wakati huu Wapendwa. Binafsi nipende kuwashukuru wadau wote jamiiforum hakika nimejifunza mengi katika baadhi ya machapisho ya wadau nimekuwa motivated Sana kuingia kwa mara nyingine katika ufugaji. Pamoja na kujifunza mengi Kuna baazi ya mambo Hadi hivi sasa yananitatiza ningependa...
  8. Ibrahim HC

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwanini ukimtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la 10% kutoka katika Mshahara wako huku ukiwa na Furaha nae hukubariki maradufu?

    Mafanikio ya ki Mungu yana utaratibu wake, hata biblia imeandika Mungu wetu ni Mungu wa utaratibu na si Mungu wa machafuko. Kutoa zaka pekee haitoshi ikiwa Imani yako na moyo wako hauko thabiti kwa Mungu, ukisoma kitabu Cha mwanzo 3:1 na kuendelea unaona sadaka ya Habeli ilikubaliwa na ya Kaini...
  9. Ibrahim HC

    JamiiForums Tanzania Msaada kubadili kituo cha usahili kada ya Afya

    Hakika mkuu, maelezo yako yamejitosheleza kabisa, hasa kwa sisi ambao ndio mara ya kwanza tunatumia mfumo huu. God bless you.
  10. Ibrahim HC

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuacha kazi kwenye taasisi za private na kupata stahiki zake bila ya mgogoro

    Michango ya NSSF ambayo haijawasilishwa Gratuity (kiinua mgongo) Malimbikizo ya mishara na madai mengine
  11. Ibrahim HC

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuacha kazi kwenye taasisi za private na kupata stahiki zake bila ya mgogoro

    Nishajipanga kwenye kilimo na ufugaji na isingekuwa stahiki zangu pengine ningekuwa nishaamsha ila kinachoniuma kuacha hela zangu ambazo nimezitolea jasho kwa kigezo Cha kwenda kutafuta zingine
  12. Ibrahim HC

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuacha kazi kwenye taasisi za private na kupata stahiki zake bila ya mgogoro

    Itabidi nifanye ivyo ila nilipata woga wa kufanya maamuz kutokana wadau wengi walioacha kazi hapa nilipo stahiki zao ni Kama walitoa sadaka na wengine waliokomalia stahiki zao taasisi iliwarudisha kazini huku wakiahidiwa kupewa stahiki zao hali ya kiuchumi itakapokuwa sawa, pengine ni kutojua...
  13. Ibrahim HC

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuacha kazi kwenye taasisi za private na kupata stahiki zake bila ya mgogoro

    Asante sana kaka, na je nikifingua kesi ya madai kabla ya kuacha kazi naweza toboa maana nawadai hela nying sana na sioni dalili ya taasisi kukaa sawa kiuchumi zaid ya mambo kuwa magumu kila siku
  14. Ibrahim HC

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuacha kazi kwenye taasisi za private na kupata stahiki zake bila ya mgogoro

    NSSF ni Kama hakuna kitu wameingiza Makato ya miezi Kama nane tu, Kuna zaidi ya miezi 28 hawajaweka. Nilijaribu kuwasilisha mararamiko yangu kwenye ofisi za NSSF ila ni Kama na wao wapo upande wa mwajiri
  15. Ibrahim HC

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuacha kazi kwenye taasisi za private na kupata stahiki zake bila ya mgogoro

    Ni kweli ila Hadi nafikia hatua hii Kuna mengi nimepitia ambayo nashindwa kuvumilia, imagine inapita miezi miwili kavu bila salary na wakianza kutoa wanatoa kidogo kidogo Tena kwa kubagua, mwisho wa siku najikuta madeni makubwa kuliko nnachopata, na pia nikitizama college mate niliosoma nao...
Back
Top Bottom