Hakuna muislamu anayemkana Masih Issa (Yesu Kristo), kinachokanwa ni uungu wake au kuwa mtoto wa Mungu, lakini waislamu wote wanaamini Masih Issa bin Maryam ni mtume wa Mwenyezi Mungu aliyezaliwa bila ya baba, aliyefufua na kuwaponya vipofu wenye ukoma na balanga kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu na...
Huenda huu mchezo unaofanywa na vyama hivi viwili Chadema na ACT ni kupima upepo nani mwenye kuwa na watu wengi ili waungane mkono, na inavyo onyesha ACT wamekubali kuwa backing up team ya Chadema. Lakini kwa mwenendo wa uchaguzi huenda dakika za mwisho ikiwa Lissu atafanyiwa figisu yoyote ya...
Serikali imekataza msichana aliyeshika mimba kurudi shuleni, haijamkataza asisome hivyo basi ikiwa hata shule binafsi nazo hazisomeshi wasichana waliyopata mimba, basi jamii iliyoguswa na jambo hili ikishirikiana na wahanga wa mimba za utotoni waandaye utaratibu wa kujiendeleza kielimu kwa...
Tuwe na dhana njema na mheshimiwa raisi, haya anayoyafanya ni kwa sababu ya watanzania bila kujali tofauti zao.
Ni vigumu sana kwa kiongozi aweze kwenda polepole katika haya mambo ya kupigana na ufisadi, mikataba mibovu na wawekezaji, ukwepaji wa kodi na mambo mengi ya kuendeleza uchumi wa nchi...
Mkoa wa pwani unahitajika kuwa na viwanda vingi ili vijana wapate ajira, nadhani huenda kukaleta hali ya amani na usalama kwa sehemu hizo. Hongera raisi kwa kuliona hilo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.