Iyo 21 ultra ina filters zake baada ya kupiga picha sasa wewe umechukua picha kazi kama ilivyo ulitakiwa uende kwenye uweke auto na remaster ndio ulinganishe halafu uone balaa lake
Hapo kwenye pmpo tupe somo hesabu zake zinakuaje maana kuna mtu Facebook marketplace anauza home theater singsung hizi za kichina anadai ni watt 4500 kakomaa kinoma iyo sio watt 4500 japo sijui formula yake
Kwa niaba anatafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi aje geita wilaya ya mbogwe yeye aende tanga wilaya yoyote, chalinze, kibaha au pwani wilaya yoyote idara msingi
07191512715
Sawa nakubaliana na wewe ila kuna HT nilikutana nayo Ina 1200w Aina ya sony acha inapiga Balaa bass Ina nguvu balaa mimi natumia sony ht 1000w ila iyo niliivulia kofia mkuu, ukiiweka na hifi za kawaida hazifiki pale
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.