Recent content by Ibra77

  1. I

    Kazi: Nahitaji mtu wa marketing kwenye kampuni yangu

    Muda sio mrefu nitaanza kuwasiliana na watu walionipa namba zao
  2. I

    Kazi: Nahitaji mtu wa marketing kwenye kampuni yangu

    Nitumie kazi zako kwenye contact yangu whatsap nione kazi ulizokwisha wahi kufanya na upo Mwanza maeneo gani?! nitakua uko next week
  3. I

    Kazi: Nahitaji mtu wa marketing kwenye kampuni yangu

    Yes brother nimekamilisha kwa kiasi chake so nimeanza kuingia sokoni.
  4. I

    Kazi: Nahitaji mtu wa marketing kwenye kampuni yangu

    Asante mkuu nimekamilisha
  5. I

    Kazi: Nahitaji mtu wa marketing kwenye kampuni yangu

    OK email me nitampigia tuongee
  6. I

    Kazi: Nahitaji mtu wa marketing kwenye kampuni yangu

    Certificate au diploma itatosha
  7. I

    Kazi: Nahitaji mtu wa marketing kwenye kampuni yangu

    Kuna Products zinazokua packaged currently. So kazi ni kusupply kwenye masoko ambayo yapo na na pia kushauriana ni jinsi gan ya kutangaza bidhaa na kuongeza masoko ya bidhaa zetu.
  8. I

    Kazi: Nahitaji mtu wa marketing kwenye kampuni yangu

    Nimeanzisha Kampuni ambayo inahitaji mtu anayeelewa marketing na pia advertising vizur ili tushauriane na kufanya kazi pamoja. Aliyetayar anipigie 0713-778792 .... Awe na umri wa miaka 20-25.. Email:ibrahim_abeid@yahoo.com
  9. I

    Natafuta Soko la mchele

    Ukichukua mwngi tutarekeebishiana tutaelewana nashindwa kutaja bei maana naweza leta mchele mzur kuliko grade 1 unayoisema wewe pia kwaio nashauri unichek.
  10. I

    Natafuta Soko la mchele

    Email: ibrahim_abeid@yahoo.com ....Niambie unahitaji kiasi gan grade 1 na 2 na upo Arusha maeneo gani ili nikutumie sample iliopo halafu tupatane bei. Namba ya sim: 0713 778792
  11. I

    Natafuta Soko la mchele

    Unahitaji kiasi gan brother... Na mchele ambao haujakatika kabisa wewe unanunua shiling ngap
  12. I

    Kilimo cha Kahawa na Majani ya Chai

    Habar wanajamvi. Kwa anaefaham kuhusu kilimo cha Kahawa na Majan ya Chai .... Maeneo ya kilimo na soko lake anifahamishe Jamani. Tusiwe wakimya tuelimishane jamani. Asante
  13. I

    Shirika la viwango (tbs)

    Nashukuru sana sana.. Ngoja nisome.
  14. I

    Shirika la viwango (tbs)

    Naombeni msaada vijana wenzangu
  15. I

    Shirika la viwango (tbs)

    Za saahiz vijana wenzangu, Polen na majukumu ya kujenga taifa. Samahan naomba tafadhali mwenye kujua utaratibu mzima wa kupata nembo ya shirika la Viwango (tbs) kwenye bidhaa unayoitengeneza unafanyeje.
Back
Top Bottom