Recent content by ibra017

  1. ibra017

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ushauri kuhusu kuwekeza kwenye mazao

    Ni ushauri pia kiongozi Asante sana
  2. ibra017

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ushauri kuhusu kuwekeza kwenye mazao

    Hoja haiigwi rungu, na ushauri wako umenikumbusha kitu muhimu sana kwenye kilimo, Asante kiongozi napokea ushauri kwa mikono miwili.
  3. ibra017

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ushauri kuhusu kuwekeza kwenye mazao

    Shukrani kiongozi napokea wazo lako kwa mikono miwili
  4. ibra017

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ushauri kuhusu kuwekeza kwenye mazao

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa kwanza, nilikua nawazo la kuanza kuwekeza kwenye kilimo kupitia boom langu. Sasa ni kwamba kwasasa sijui ni aina gani ya mazao ambayo nitaweza wekeza na yakanipa faida kutokana na hali yenyewe jinsi ilivyo ya kiuchumi, na ni vema nianze na kiwango gani...
  5. ibra017

    JamiiForums Tanzania Hii haikubaliki tena,wapalestina Gaza wagombea chakula kujiokoa kufa kwa njaa

    Mi sio mbobevu kiivo kwenye international affairs ivo swali langu ni kwamba why marekani anakua kama international tittle contender Yani hakuna international agreement ambayo inaweza fanyika bila kutajwa Wala kuhusishwa why?
Back
Top Bottom