Recent content by Ibnu uthaimin

  1. I

    Instructor Positions at Brightinstitute

    Job Post: Instructor Positions at Brightinstitute Zanzibar-Tanzania Required Education: - Master's degree in Business -Master's dehree in Education Master's degree in Public Health Master's degree in Information Technology Roles and Responsibilities: 1. Curriculum Delivery: Develop and...
  2. I

    Job Post: Instructor Positions at Brightinstitute

    Job Post: Instructor Positions at Brightinstitute Zanzibar-Tanzania Required Education: - Master's degree in Business -Master's dehree in Education Master's degree in Public Health Master's degree in Information Technology Roles and Responsibilities: 1. Curriculum Delivery: Develop and...
  3. I

    Biashara ya mtumba

    Noted, nitakutafuta kesho mungu akipenda
  4. I

    Biashara ya mtumba

    Meli tano;Mji mkongwe na kwerekwe
  5. I

    Biashara ya mtumba

    Oky ntakpgia
  6. I

    Biashara ya mtumba

    Mara ya kwanza niliweka bango hapa nikapata mtu na nafanya nae kazi vizuri tu nakuwa naengeza fremu sehemu nyengine then nikafanya tena hivo. Hii biashara sibahatishi coz naijua vilivyo. Almost saiv niko na fremu tatu, mawazo ya kubatisha ni ya kimaskini coz ambao nabatika nao wanafika kabisa...
  7. I

    Biashara ya mtumba

    Hello guys, Kama upo na mtaji niletee mzigo wa belo za baibui za mtumba tufanye kazi, fremu ipo good location, unaweza kujitengenezea laki 3+ kila mwez. Belo moja ya baibui grade A ni km laki 6-7. Nipo Zanzibar, any one interested na hiyo biashara nione, serious people only kama nilivyofanya...
  8. I

    Nipo na fremu ya nguo za mtumba ila sina mzigo wa kutosha

    Habari zenu, natumaini ni wazima wa afya. Nipo na fremu ya nguo za mtumba ila sina mzigo wa kutosha. Anehitaji kuniwezesha kwa mzigo namkaribisha, mitumba ya baibui, abaya za kikubwa na kitoto, kanzu za msikitini ndogo na kubwa pia madashdash, mabwanga pamoja na night dress hata viatu vya kike...
  9. I

    Biashara ya nguo za mtumba

    Kama una mtaji wa kuanzia laki 7+ na unahitaji kupata faida kuanzia laki 3+ per month njoo inbox tuongee biashara ya nguo za mtumba nitakuelezea ukikubali tutafanya
  10. I

    Naomba kufahamishwa kuhusu associate

    Wakuu naomba anayeelewa kuhusu associate degree anifahamishe na inaweza kuwa equivalence na level gani ya elimu kwa hapa Tanzania.
  11. I

    Biashara ya baibui(abaya) za mtumba

    Wewe ukishakua tayari niambie tuyapange mkuu. Hapotaharibika kitu
  12. I

    Biashara ya baibui(abaya) za mtumba

    Belo zinakuwepo but kupata belo ambazo ziko vzr nd kipengele km sio mjuz wa mizgo thus why belo mda mwengn zinakuw na shot
  13. I

    Biashara ya baibui(abaya) za mtumba

    Itatgmea na eneo coz km zanzibar wavaaji wa baibui ni weng so ukiw mjuz wa hyo biashar na kuw na eneo mahal pazur kwa 5M unaweza kutengeneza 400k kwa wiki minimum
Back
Top Bottom