Recent content by Ibney

  1. Ibney

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napinga kabisa dhana ya "Mume ni Provider" katika ndoa

    Kumbe unaitwa weakman
  2. Ibney

    JamiiForums Tanzania Ndege ya kwanza kutengezwa Tanzania yaanza safari zake

    Wivu si kitu nzuri. Wamefanya wapongezwe... Kwishaa
  3. Ibney

    JamiiForums Tanzania Mwenye soft copy ya riwaya ya mkimbizi

    Mkuu ulifanikiwa kukipata?
  4. Ibney

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napinga kabisa dhana ya "Mume ni Provider" katika ndoa

    Man down! Kwaio... au bas
  5. Ibney

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ila watuu! Subra kidogo tuu watu povu mia7. Af kwan ni deni? Umelipia we unaetoa povu? Job true true
  6. Ibney

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili jambo linanigharimu sana

    Mkuu, kikubwa ni bora umelijua kosa ukatubia then ukajitahidi kwenye mema mola wako hatokuacha patupu. Pia washaurini na wadogo zenu wazingatie maadili, na wajue kua kila kitu kitakuja kwa muda wake, wasifosi.
  7. Ibney

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake kuishi unyumba vyuoni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Inawezekana ni lawama nyingi... ila nawe usifosi hio bikra kwa mwanaume!! We uliiona wapi au umeiumba?!
  8. Ibney

    JamiiForums Tanzania Umegundua nini kwenye hii picha ya Wanajeshi?

    Mbona makasiriko... unamjua mshua nn? Amejiachia sn bn co poa
  9. Ibney

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

    Hahah
  10. Ibney

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulimsomesha kwa tabu akang'ang'ania kuolewa, mwisho wa siku akatelekezwa na mapacha

    Watavuna walicholima... tena wengi wao wanapewa mabinti wengi ili wafe na mipresha uzeeni
  11. Ibney

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulimsomesha kwa tabu akang'ang'ania kuolewa, mwisho wa siku akatelekezwa na mapacha

    Aisee makali ila ndo ukweli
  12. Ibney

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Hhhh, hii imeenda
  13. Ibney

    JamiiForums Tanzania Video: Hali ya Kateshi jioni hii

    Sio lazima kila kitu unachoona ujifanye mjuaji... mvua inahusika nini na matakwa ya watu?! Kwaio unataka kusema maza anahusika na hayo mafuriko?!
  14. Ibney

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kuipita dhiki! au ndo ile stage aliyoipitia roma
Back
Top Bottom