Lakini jamani tunapofikilia kero wanazozipaya walimu tucwe na maamuzi ya jazba coz kila kitu kinautatatibu wake wa kifanikiwa so nashauri jaribuni kuyapeleka haya matatizo yenu kwenue ngazi stahili coz yawezekana mkafanikiwa kutatua tatizo hili, huu n uongozi mwengine, alaf kama ukisema uwaache...
Ebwana pole sana, kama unauwezo wa kuandika bila kujua athari ya unacho kiandika, wewe utakuwa una uwezo mdogo sana wa kufikiri, sasa ikiwa uwepo wa watu wa imani fulani wengi kwenye taasisi fulani ni udini basi udini utakuwa umeanza kwa upande wa pili, ebu fuatilia kabla hujaandika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.