Recent content by Ibn Machela

  1. Ibn Machela

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    SIO MBAYA KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
  2. Ibn Machela

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    DSS BANCASSURANCE
  3. Ibn Machela

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Nilishaitwa mkuu nikafanya Oral wakaniita tena kukamilisha taratibu zao....dar zone
  4. Ibn Machela

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Kuna mimi ambae nimefanya test yao tarehe 22/06/2023 naona bado kimya
  5. Ibn Machela

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Profession: Insurance and Risk management Experience: 2 years(bancassurance, Teller) Education: Bachelor Degree Location : Dar es salaam Age : 26 years Sex : Male
  6. Ibn Machela

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ntajitahidi
  7. Ibn Machela

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    habari naomba nieleweshwe jinsi ya kutafsiri codes tafadhali
  8. Ibn Machela

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hamna kama vitu vyako vimekamilika wewe tulia tuu mkuu tusubir selection
  9. Ibn Machela

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    nili scan tatzo ndio lilianza hapo
  10. Ibn Machela

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    ni issue ya kawaida tu wameniambia ni attach namba ya nida mimi nlisahau kuweka
  11. Ibn Machela

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ningeweka screenshot hapa ila haiwezekani labda ndio ungeamini....
  12. Ibn Machela

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Aysee jana jeshi la polisi wamenijibu kwa Email
  13. Ibn Machela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

    daah hizi mambo hizi acha kabisa
  14. Ibn Machela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Ngoja nije PM😎
  15. Ibn Machela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    mimi nipo jamani[emoji3064]
Back
Top Bottom