Nani kawakataza walimu kubet huko Mlele? Cha ajabu utakuta ni maboss wao!
Yaani waalimu mnawaibia stahiki zao, hadi kwenye uandikishaji wapigakura mmewaweka kwa kuwatoza elfu 50 asiyetoa hapati nafasi, mmeona haitoshi hela ya semina mnawalipa 40k badala ya 120k na bado kwenye zoezi lenyewe...
😁😁😁Kumbe ni kila sehemu
Kuna kijiji huko geita walikuwa wanagombea msikiti sijui ndo shia na sunni, sijui shia na muqawama walikuwa wanaita (sikumbuki vizuri).
Mimi na jamaa yangu tukaalikwa na kiongozi wao wa bakwata wilaya kikao cha usuluhishi. Kumbe yule kiongozi ana upande na kaalika watu...
Yaani kukomaa kote huko unaongelea akili za duniani mara elimu dunia, kumbe akili yako inaishia kwenye kutomba tu! Kazi kwelikweli!
Hii dunia ingejaa watu wa aina yako, hadi leo tungekuwa na ustaarabu wa zama za kale za mawe. Wewe ni aibu ya taifa.
Tangu lini sisiem ikajali watu? Wao wanachojali akina Lucas Mwashamba, kipara kipya, stroke, choice variable wapo, the rest mliojitambua na kupata exposure kiasi cha kuweza kwenda huko nje mtajijua wenyewe.
Mtanzania ni mfano wa mtoto wa kichaa, full kujipambania wakati mzazi yupo.
Nilipokuwa mdogo nilikuwa nafanya tahajudi bila kujua. Nilikuwa naona maajabu sana.
Nimekuja kujua kuwa ni tahajudi baada ya kukua na kusoma humu. Nakumbuka kwa mara ya kwanza nilisoma uzi wa Mshana Jr
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.