Recent content by Ibase

  1. I

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu unaendesha gari namba 'A' au 'B'?

    Ume A,B na C ukisafiri umbali mrefu highway Ni nadra Sana kuzikuta zimepakiwa pembezoni mwa barabara zimefunguliwa boneti,kuashiria changamoto.Hayo unayoyasifia kibao kila baada ya km kadhaa tunaziona boneti juu hali tete.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Aliyebuni hizi engine za forester XT aishi milele huko aliko

    Gx110 👏🏻👏🏻
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nani apewe maua yake kwa review kali za magari: Abel Shoo wa east cars, Dr. Mechanics, Mshana Jr au Samatimes

    Mwamba hana maringo,ukimcheck hata kwa WhatsApp anatatua shida.jitumirabaminne
  4. I

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji253][emoji253][emoji1]
  5. I

    JamiiForums Tanzania Hivi kumiliki gari ya safari ndefu Kama Toyota Prado kwa safari fupi za mjini ni akili au ujinga?

    Enzi hizo ubabe ubabe tu.msingi mfuko uwe umejaa basiii
  6. I

    JamiiForums Tanzania Hivi kumiliki gari ya safari ndefu Kama Toyota Prado kwa safari fupi za mjini ni akili au ujinga?

    Uchumi ukiwa mzuri hata kwenda sokoni na scania 113 ni sawa tu.ikiwezekana hata kutumia trector aina ya Ferguson town trip,kuchaguliana usafiri sio vizuri mjini hapa
  7. I

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Ajabu: Nimewaona Wafanyabiashara wa Tanzania wamekuja Kampala kununua Bidhaa za China

    Hapa ni kumtoa TRA kafara tu.kwa awamu nyingine waliokusanya kodi ni hawa TRA,na mizigo ilifika Kwa wingi.kuna mahali tumekosea TRA ni chambo tu.zipitiwe upya sheria za kodi na mambo yote yanayohusu uwekezaji hasa sekta binafsi.UKIMCHUKIA TAJIRI,UTAMBUE UMEMFANYA MASKINI KUENDELEA KUWA MASKINI.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri:kuhusu Altteza gita.

    Shukrani kwa kuendelea kuweka madini boss Sent using Jamii Forums mobile app
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri:kuhusu Altteza gita.

    Huu mtambo ni fire Sent using Jamii Forums mobile app
  10. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri:kuhusu Altteza gita.

    Kwa ujuzi wako boss ni ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri:kuhusu Altteza gita.

    Inamaana sheli lazima awe njema??? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri:kuhusu Altteza gita.

    Watoe maujuzi awe na maamuzi yaliyotimia,asijutie mbele ya safari Sent using Jamii Forums mobile app
  13. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri:kuhusu Altteza gita.

    Sawa boss tunamshauri na hii ni faida ya wadau . Sent using Jamii Forums mobile app
  14. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri:kuhusu Altteza gita.

    Nitamshauri atembelee huku ajionee mautundu kwa wataalamu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri:kuhusu Altteza gita.

    IPO fayaaa, Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom