Habari zenu wakuu,
Naombeni ushauri nataka kununua PC mpya aina ya HP, Lakini sina utaalamu wowote juu ya PC ipi ni nzuri zaidi. Hivyo ningependa kujua yafuatayo:-
~PC ipi ya HP itanifaa kwa kusomea na kuchezea games
~Pia ipi ni nzuri kea kutunza charge
~Display iwe kuanzia 14inches
Pia naomba...
Habari zenu wadau,husika na kichwa cha uzi hapo juu naomba kujuzwa mbinu,ujanja na connection ambazo watu wanatumia hadi wanafanikiwa kubadili course hapo Udom.
Kwa ufupi mimi nimechaguliwa nursing udom lakini ndoto zangu zilikuwa ni kusoma MD. Nawaza nikifika chuo zikitokea chance za kujazia...