Recent content by ibanezafrica

  1. I

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

    Kwanini waamuzi wengi hupenda kuibeba simba?ikifanya faulo refa anajitia hajaona, Ikistahili penati kwenda goli la simba refa anapotezea.. Ikitokea mchezaji wa simba akiguswa tu eneo la karibu ya boksi la mpinzani refa anasema ni faulo! Nyie hamjaliona hili?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Je, Simba wataweza kuvuka makundi?

    Simba kuvuka?.Nimekaa paleee
  3. I

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Askari Polisi Barabarani tunaomba yule Dereva wa gari ya Simba SC anyang'anywe leseni yake

    Dereva alikua akifuata maelekezo toka kwa maboss zake wa ngazi za juu
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kinyumenyume FC

    Hujamaliza wameloga uwanja siku 7 nayo ni kama haikufaa kitu! Nasubiri kusikia zaidi kutoka kwa ahmad ally
  5. I

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Hongera kwa hili
  6. I

    JamiiForums Tanzania Goli la Mama: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni 5 mechi za Simba, Yanga CAF

    Ujinga upi?kijana jiangalie
  7. I

    JamiiForums Tanzania Double strikers bado inabaki kuwa silaha muhimu Yanga

    Za ndani mara wanasema alitofautiana na mwalimu na kwamba wamegawanyika mwalimu hamtaki baadhi ya viongozi wanamtaka
  8. I

    JamiiForums Tanzania Double strikers bado inabaki kuwa silaha muhimu Yanga

    Mpira mpira tu
  9. I

    JamiiForums Tanzania Double strikers bado inabaki kuwa silaha muhimu Yanga

    Hapo anafanya sub si kana kwamba wacheze wote
  10. I

    JamiiForums Tanzania Goli la Mama: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni 5 mechi za Simba, Yanga CAF

    Hapo Yanga wiki hii tunaenda kuvuna 15 million
  11. I

    JamiiForums Tanzania Double strikers bado inabaki kuwa silaha muhimu Yanga

    Nilishalisema hapa huko nyuma na bado nitaendelea kusisitiza, kumtegemea Fiston kule mbele peke yake kutaendelea kutughalimu mpaka kuja stuka tutakua tumechelewa sana! Kuanzia hapa nyumbani na hata nchi jirani pia nchi nyingi za ki afrika Mayele anajulikana kwa vurugu zake na hatari langoni mwa...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Tuachane na matokeo, Camera za CAF Champions League mbona ni mbovu kiasi hiki?

    Tunapaswa kuwaheshimu Azam Media
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Tanzania kila shabiki wa Yanga ni kocha

    Na tukisemaga 'hapa kocha lazima amtoe Kisinda na Moloko' mara nyingi hutokea Nabi nae hufanya hivyo na kuwaingiza wale tulioona wanapaswa kuingia Hivyo sisi si wajinga tunaelewa,shida ipo benchi la ufundi kirudia rudia makosa
Back
Top Bottom