iliwahi kutokea kwa jamaa yangu na akadhani amerogwa,lakini tulimpa ushauri wa kwenda kwa dr wa wanawake na alipatiwa dawa za kumponya na shida ikaisha kabisa,wakati huwa ni shida za homony ambazo huwapata sana kina mama,sasa inapokuja kwa wababa,matatizo kama yako hujitokeza.
kila mtu ana mtazamo wake,mimi kwa mtazamo wangu suala la kuahamia dodoma haliwezi kuwa na garama kubwa kama wengi wanavyofikiria,kwa nyakazi zilizopita sawa ingekuwa kubwa ila kwa sasa fahamuni hakuna kuongeza sifuri,kama nauli ni elfu 17 to dom itakuwa hivyo na si laki na 70.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.