Search results

  1. I

    Msaada: Uume wangu unasimama kidogo sana nikiuweka ukeni unalala

    iliwahi kutokea kwa jamaa yangu na akadhani amerogwa,lakini tulimpa ushauri wa kwenda kwa dr wa wanawake na alipatiwa dawa za kumponya na shida ikaisha kabisa,wakati huwa ni shida za homony ambazo huwapata sana kina mama,sasa inapokuja kwa wababa,matatizo kama yako hujitokeza.
  2. I

    Tozo zatinga kwenye mabenki, kuanza kukusanywa Septemba 8, 2021

    Equity bank wameshaanza kitambo,hiyo tarehe unayosema labda itapanda
  3. I

    Waziri Ndalichako awatimua Chuo walimu wa mafunzo waliompiga mwanafunzi shule ya Kutwa Mbeya

    sawa hata kama ni authority ya vyuo waziri ndo keshasema,na tuone kama halitatekezwa,kwanini kutetea uhuni ule uliofanywa na walimu wahuni?
  4. I

    Rais Magufuli: Angalia sana suala la Dodoma litakuwa kete ya wapinzani 2020

    kila mtu ana mtazamo wake,mimi kwa mtazamo wangu suala la kuahamia dodoma haliwezi kuwa na garama kubwa kama wengi wanavyofikiria,kwa nyakazi zilizopita sawa ingekuwa kubwa ila kwa sasa fahamuni hakuna kuongeza sifuri,kama nauli ni elfu 17 to dom itakuwa hivyo na si laki na 70.
Back
Top Bottom