Recent content by Ian Amran

  1. Ian Amran

    JamiiForums Tanzania Malawi: Rais Magufuli ashiriki uzinduzi soko la tumbaku

    Kiwanda kinachozinduliwa ni kipya usilete ujuaji wakati huna unachojua
  2. Ian Amran

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameiongezea muda wa miaka 3 bodi ya utalii TTB iliyovunjwa na Kigwangalla January mwaka huu.

    mambo ni mengi muda mchache endelea kusubiri tutakukuta 2025
  3. Ian Amran

    JamiiForums Tanzania Ndege zetu saba za ATCL zimenunuliwa kwa Shilingi ngapi?

    alafu ukishajua zimenunuliwa kwa kiasi gani cha fedha utapanda bure au ah ah ah
  4. Ian Amran

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza(PhD): Tanzania yenye amani na umoja ni tunda la dini zote, itikadi zote, makabila yote na jinsia zote

    kwa sisi wanyonge tumeona tofauti ya awamu zilizopita na sasa na maana halisi ya utetezi wa wanyonge imeonekana dhahiri wakati mwingine watumie mahubiri yao kuwajenga kiimani waumini wao
  5. Ian Amran

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la matrilioni, Magufuli na Ndugai mjiuzulu!

    kirahisi rahisi tu au unaota ndoto za jioni
  6. Ian Amran

    JamiiForums Tanzania Prof Assad ameonesha mfano kwa wasomi wetu

    ramli chonganishi
  7. Ian Amran

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais ashangazwa na watu wanaohoji kuhusu ulinzi wa Rais..

    hizi tunaziita ramli chonganishi usimlishe maneno Mama Samia wakati mwingine unasoma kimya kimya unamezea wacha ushirikina wewe
  8. Ian Amran

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mabalozi mkiona tatizo msiandike tena mitandaoni, nendeni kwa Waziri

    hujaelewa ndugu yangu, Rais amewapa njia rahisi ya kufikisha ujumbe ni kupitia mawaziri wake na sio mitandaoni
Back
Top Bottom