Recent content by iampizooh

  1. iampizooh

    Kwa aliyeelewa kipengele namba 5 kinachodokeza kuhusu kumaliza form 4 miaka 5 nyuma na form 6 miaka 5 nyuma, naomba anipe mwongozo

    Sawa kaka nimekuelewa,je kwa mm ambae nilimalza form 4 2016 ila nkajiendeleza kwa kidato cha sita mwaka 2022 nikamalza na pia kwenye mkopo nimeambatanisha na cheti hicho cha form 6,je watanizangatia?
  2. iampizooh

    Kwa matokeo haya unaweza kusoma kozi gani chuo?

    Shukrani kaka,kwenye kujiendeleza si naweza kusomea ualimu wa secondari au
  3. iampizooh

    Kwa matokeo haya unaweza kusoma kozi gani chuo?

    Vigezo gani wanatumia boss...sijaenda JKT,utaratibu upoje kaka
  4. iampizooh

    Kwa matokeo haya unaweza kusoma kozi gani chuo?

    Kabla ya hapo nilisomea Ualimu wa msingi kwa Grade la III A So mwaka jana nikatafuta centre ya Mtihani wa form 6 nikafanya ndo nkapata hayo matokeo,nilikua najisomea mwenyewe bila mwalimu....Bado pia nasubiri Ajira toka serikalini nilimalza 2019
  5. iampizooh

    Kwa matokeo haya unaweza kusoma kozi gani chuo?

    Boss hapa ualimu gani utafaa...Msingi au secondary kwa ngazi ya Diploma?
  6. iampizooh

    Kwa matokeo haya unaweza kusoma kozi gani chuo?

    Naomba kuuliza, Kwa matokeo haya form 6 je, unaweza soma course gani chuoni na kwa Level gani? H-F K-E L-E na GS -E Division iii point ya 17 Je, mtu huyu ataenda kusoma course gani ambayo itamsaidia mbeleni. Naomba msaada wadau.
  7. iampizooh

    Nauza simu used from Dubai

    tunatoa warranty card kwa miezi 6 kaka
  8. iampizooh

    Nauza simu used from Dubai

    SMARTPHONETZ_USED HABARI WAPENDWA BEI ZA SIMU USED FROM UK Samsung s6 210000 Samsung s6+ 240000 Samsung s7 270000 Samsung s9 330000 Samsung s8+ 380000 Samsung s9+ 400000 Samsung s10+ 560000 Samsung note8 390000 Samsung note9 460000 samsung 3a 320000 nokia ndogo 30000 Karibuni sana mzigo upo wa...
  9. iampizooh

    Natafuta connection ya kazi, nina Diploma ya Elimu ya Msingi

    Kaka unaoneka unajuq sana mambo hebu nicheki whatsapp au nipe namba zako
Back
Top Bottom